Fedha Za Biashara

  • Not Rated
Podcast price
Free

Project Description

No.7-Fedha Za Biashara. Katika kipindi hiki tunaeleza kuhusu fedha au capital ya biashara. Jiunge na Mzee Majiko, kwenye safari hii muhimu itakayokuwezesha kuwa mfanyibiashara mashuhuri wa kutengeneza na kuuza majiko ya kisasa. Mfululizo huu wa ushauri wa biashara ya ICS umeletwa kwako na shirika la PRACTICAL ACTION. Hiki ni kipindi nambari saba (7) katika vipindi ishirini (20) zilizo simuliwa kwa Kingereza na Kiswahili hapa FULULIZO CHANNEL.

Download now: click below